FAQ
Sauti Kitabu ni nini?
Sauti Kitabu ni jukwaa la lugha ya Kiswahili na App ya simulizi za sauti kwa lugha ya Kiswahili.
Je, Sauti Kitabu ni bure?
App ni bure na baadhi ya simulizi pia ni bure. Unachotakiwa kufanya ni kuunganisha namba ya simu uliyosajili kwa ajili ya pesa upate credits.
Je, natakiwa kujisajili?
Ndiyo. Inabidi ujisajili ili uweze kusikiliza simulizi kwenye Sauti Kitabu. Kujisajili ni bure pia.
Nawezaje kuweka simulizi zangu kwenye App?
Kipengele hiki kinakuja kwa watumiaji hivi karibuni. Tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa wa kujisajili au tutumie barua pepe kupitia info@sautikitabu.com
Nawezaje kununua simulizi?
Ni rahisi. Unganisha nambari ya simu ya pesa kwenye akaunti yako ya Sauti Kitabu kisha ongeza credits kwa kufuata maelekezo yafuatayo.